- Habari, KIJAMII
- May 9, 2024
Wakazi wa Mtaa wa Chinyoyo kata ya kilimani Jijini Dodoma wamelalamikia wakala wa barabara za mjini na vijijini (TARURA) Kwa kuwaacha muda mrefu wakiteseka na miundombini ya barabara katika mtaa wao jambo ambalo wamesema wanapata tabu pindi wakiwa na wagonjwa magari hayawezi kupita. Akizungumza na Jfive Ezekieli Samweli amesema wamekuwa wakipata tabu hasa kwa vyombo
READ MORE